Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Juzi nipo zangu nachat na mtu humu nikashangaa naona dislike yake, nikamuuliza shida nini au wivu? Nikala nyingine. Nikasema usinizoee, nikamlamba ignorance ๐Ÿ˜‚

Katika pitapita mitaani naona kumbe anazigawa kwa kila mtu hadi Cookie alimdislike wakati hakukisea kitu moderator wa watu๐Ÿ˜ญ
Alipojifanya kampiga dislike moderator si akapigwa ban ya kureact akafungua uzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Toka hapo sijamuona tena mpka leo
 
S
Juzi nipo zangu nachat na mtu humu nikashangaa naona dislike yake, nikamuuliza shida nini au wivu? Nikala nyingine. Nikasema usinizoee, nikamlamba ignorance ๐Ÿ˜‚

Katika pitapita mitaani naona kumbe anazigawa kwa kila mtu hadi Cookie alimdislike wakati hakukisea kitu moderator wa watu๐Ÿ˜ญ
Shida alikuwa anamuiga django doer bwana maana yule jamaa yeye karibia kila mtu anampiga dislike bahati mbaya kikamrambaaa
 
Back
Top Bottom