Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Ikiwaaa, ikiwaaa kipenyo cha kichwa changu si sawa na chako, ikiwaaaa umeninyoa vibaya, ikiwaaa unanirudishia chenji mara kumi ya hela niliyokupa, ikiwaaaa😂
Kuna Megamind pia ni nzuri mwaka huu wameachia mpya
 
Ndugu upo penzni 😃😃😃
 
Ya jaguar paw movie hii sio animation
Sema mim napenda movie flan hiv kama prey, the lair, die hard, in the tall grass, sneakers, hackers, yaan iwe mix adventure, horror kidogo lakini, technology, iwe na mastaa, etc. Ila napenda movie za jangwani za wazungu sio waarabu, porini kwenye Mapango, tukija town movie kali kama die hard unyama, thriller unyama
 
Siku hizi wazungu siwaelewagi naonaga muvi zao story haielewekii
 
Wazungu napenda animation tu
siku hizi
Kuna ile muvi inaitwa mad max furiosa sikuielewa kabisa

Kwenye tasnia ya movies, wazungu ni top, wachina wanafata. Sema wachina wananikera maseason yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…