Mkuu, hivi kuna namna ya kujua kama mtu kakuignore?
Umejuaje πMtoto mzuri sana huyo π
Witch hunter hansel and gretel umeiona. Mkuu afu kuna motor engines piaKalii sana hiyo
Tafuta hiiHii ya 24 sio kali kama ya 2015
Unawaza kwamba utakuwa umekuwa ignoredMkuu, hivi kuna namna ya kujua kama mtu kakuignore?
Zote ninazo kwenye pc hiyo Hansel nimeona Toka 2013Witch hunter hansel and gretel umeiona. Mkuu afu kuna motor engines pia
Itabidi niicheki hiyoTafuta hiiView attachment 3095304
Kuna mtu mmoja alikuwa anashinda online nashangaa saivi haonekani, alafu chaajabu watu hawamuulizii, manaake yupo ila mimi simuoniUnawaza kwamba utakuwa umekuwa ignored
Haiwezekani mkuu ila ukiona mtu Ali acti na wewe muweke ignore list tu kwani sh ngapi π π πMkuu, hivi kuna namna ya kujua kama mtu kakuignore?
Nani huyo π πKuna mtu mmoja alikuwa anashinda online nashangaa saivi haonekani, alafu chaajabu watu hawamuulizii, manaake yupo ila mimi simuoni
Hii ni secret mkuu. I'd yangu naipenda sanaNani huyo π π
Njoo uniambie pm π πHii ni secret mkuu. I'd yangu naipenda sana
Atakuwa shemu wa kuitwa gifted nini?? πππNani huyo π π
Au alice πππHii ni secret mkuu. I'd yangu naipenda sana
Ili uje unianike π acha nife pole pole hivi hivi tu mkuuNjoo uniambie pm π π
Nani kasema hahaa πAtakuwa shemu wa kuitwa gifted nini?? πππ
Siwezi kufanya hivyo Mimi ni verified mpemba mkuuIli uje unianike π acha nife pole pole hivi hivi tu mkuu