Tupia jina la beki wa kati aliyestaafu ambaye ulikuwa unamkubali sana

Tupia jina la beki wa kati aliyestaafu ambaye ulikuwa unamkubali sana

Salum Mayanga
Geofrey Magoli
Patrick Batwel
Wachache sana watakaoikumbuka hiyo miamba hasa wa kwanza na wa pili
 
BABAYARO

Abdurahman Juma [ MANGALA young Africans]
 
Fernando Hierro,Franco Baressi ,Nadir Haroub Canavaro
 
Wewe unaujua mpira kweli? Utawaita hao mabeki wa pembeni? Inawezekana hukuwaona enzi zao walipocheza!!!
Hapo napo watakuwa wamekosea?

67BE1ED9-8B15-4E8C-969E-6C0F2A547606.jpeg
 
Nadir Haroub Ally (CANAVARO) a.k.a upapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NB: hakuwa central defender lakini Shedrack Nsajigwa Mwandemere "FUSO" na "fyatu fyake"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiungo mkabaji

mimi sijui ila nambie nafasi ya babayaro ni ipi uwanjani?

Babayaro alicheza half back left kwa muda mrefu kabla ya kuchezea nafasi ya full back left mwisho wa career yake!! Na alipokuwa anachezea nafasi hizo alikuwa na uwezo wa kwenda mbele na nyuma ya kiwanja!! He was a work horse!!!
 
Back
Top Bottom