Tupia jina la kocha wa timu yoyote anayekaribia kufukuzwa kazi

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kuna msemo wa Kiingereza unasema "Managers are hired to be fired". Yaani makocha wameajiriwa kwa ajili ya kufukuzwa.

Kocha unapopewa timu, watu wanachotaka ni mafanikio tu na si kingine. Msimu mpya umeanza na kasi, kuna makocha kadha wa kadha hali za timu zao si nzuri sana hivyo kupelekea kuwa katika hatari ya kufukuzwa vibarua vyao.

Tukumbushane makocha ambao wamekalia kuti kavu kwenye timu zao, yaani muda wowote ule vibarua vinaweza kuota nyasi.

Mimi naanza na huyu Marco Silva wa Everton.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…