Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Labda ni upepo tu, ila mimi naona ni wasaa sasa wa kwenda kutafuta changamoto mpya sehemu nyinginePochetino, pale Spurs sijui anasubiri nini. Timu ndani ya siku tatu inafungwa goli 10 na bado yupo?
Mwenyekiti wa Spurs, bwana Daniel Levy ni fundi sana wa kufanya maamuzi magumu, muda wowote kuanzia twaweza kusikia breaking newsPochetino, time will tell
Yule wenu lengo lilikuwa ni nusu fainali ya Caf champions league ivi bado yupo?Zahera
Yupo yupo sana tuMwinyi zahera time will tell
Zidane, Ole sendeka.
Haha Man U inafundishwa na MoraniOle sendeka!πππ
Haha Man U inafundishwa na Morani
PepKuna msemo wa kiingereza unasema "Managers are hired to be fired". Yaani Makocha wameajiriwa kwaajili ya kufukuzwa.
Kocha unapopewa timu, watu wanachotaka ni mafanikio tu na si kingine. Msimu mpya umeanza na kasi, kuna makocha kadha wa kadha hali za timu zao si nzuri sana hivyo kupelekea kuwa katika hatari ya kufukuzwa vibarua vyao.
Tukumbushane makocha ambao wamekalia kuti kavu kwenye timu zao, yaani muda wowote ule vibarua vinaweza kuota nyasi.
Mimi naanza na huyu Marco Silva wa Everton...
View attachment 1224462View attachment 1224463
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Zidane, Ole sendeka.