Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

Martinezstavo alinipa jina rafiki angu ambae nilikuwa nasolve matatizo yake bila ya yeye kujua na nikisov simwambii mpaka ajue yeye kutoka vyanzo vingine vya habari au situation flani mwanzo aliniita Gustavo then jina lilipokuwa limefahamika na watu wengi likadevelop mpaka kufika hapo lilipo saivi
 
hongera sana mkuu
 
PAMPULA:
Hili jina nilikua naitwa shuleni, Kuna mwalimu alinitunga nikajikuta nimekua maarufu mpaka darasa la Saba.

SABABU:
Pale kijijini kulikua na mlevi mmoja anaitwa Hilo jina(pampula), huyo jamaa alikua na ndevu nyingi za mustach, Sasa alikua alienda kunywa mapombe ya kienyeji, unakuta Yale mabaki(machicha) yananasa kwenye mustach wake, hivyo ukikutana nae kwenye mustach ni lazima ukute machicha ya pombe.

Sasa kuna siku mie niliamka asubuhi, baada ya kujiandaa nikanyata mpaka sehemu yalipo maziwa(home tulikua tunauza maziwa) nikapiga funda za kutosha haraka haraka kwa kujificha halafu huyooo nikaenda zangu shule.

Sasa wakati tupo msalini, kipindi cha ukaguzi, Kuna ticha mmoja mmama alikua mnoko kweli, alipofika usawa wangu akaona mdomo wangu pande zote una mabaki ya maziwa(Kama mustach) basi yule ticha kwa sauti kabisa akasema "hebu tazameni mdomo wa pampula "
Daaaaah! Wanafunzi wooote waliangua kicheko na ndo ikawa mwanzo was Hilo jina mpaka namaliza shule.
 
Mpiga miti mashuhuri.

Ili jina nilipewa na wazee wa kijiji walipogundua kuna mademu fulani wa uvccm nimewapanga kama kikosi cha Simba, na kila mmoja anapigwa mti kwa muda wake
 
Four chamber aka kiwavi jeshi maana nilikuwa nikienda kuchukua msosi skuli nilikuwa nawaambia waweke wa watu wawili tunashea
sio silI nilikuwa nakula atali
 
mapengo yameshapotea...limebaki jina tu.....[emoji854][emoji854][emoji854]
Nitakupatia jengine chagua Kati ya haya ... Lamba mwiko, mang'oma au kiriba tumbo..? Chagua mwenyewe kabla sijakubatiza..πŸ˜‚
 
Nitakupatia jengine chagua Kati ya haya ... Lamba mwiko, mang'oma au kiriba tumbo..? Chagua mwenyewe kabla sijakubatiza..πŸ˜‚

hakuna la kunisanifu hapo...tuendeleze mapengo tuπŸ™ƒπŸ˜‰πŸ™ƒπŸ˜‰
 
hakuna la kunisanifu hapo...tuendeleze mapengo tuπŸ™ƒπŸ˜‰πŸ™ƒπŸ˜‰
Sikubali we utakuwa vunja chungu Kama sio komba mboga..😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…