Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

Mimi niliitwa m-buzi kwasababu wakati Niko la pili nilishindwa kusoma neno mbuzi mpaka Leo mates baadhi wananiita m-buzi
 
Nilipewa jina la Bishop(askofu) nilikuwa napenda sana kusali kuanzia muda wa kula mimi lazima nianzishe sala,wakati wa kulala nilikuwa mtu wa kwanza kuanzisha sala,hadi kesho familia wanalitumia hilo, kuna kipindi mama alijua nina wito wa kuja kuwa padre
 
hongera Bishop, vipi bado unaendelea kusali?
 
Kabayser! Hii nickname niliitwa mtaani kwangu pindi niko form 2 na nilikuwa nafanya kazi za mnada wa viatu na nguo za mtumba, ivyo kila siku nilikuwa na uhakika wa kuvaa viatu vikali na nguo kali ambazo mtu mwingine hana
 
Back
Top Bottom