- Thread starter
- #41
mpaka sasa kwenye list ushafikisha wangapiYoyote atakayekatiza mradi siyo ndugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka sasa kwenye list ushafikisha wangapiYoyote atakayekatiza mradi siyo ndugu.
mkuu nawe twasubiri lakoYeah... kipindi chao nakipenda sana, kinachekesha
Me sikua na jina la utanimkuu nawe twasubiri lako
mkuu PM yako soon itapata msongamano maana kuna warembo humu wanapenda wanaume warefu kama weweTwiga- sababu ya urefu
sawa mr. mbuziMimi niliitwa m-buzi kwasababu wakati Niko la pili nilishindwa kusoma neno mbuzi mpaka Leo mates baadhi wananiita m-buzi
Nimeacha kuroga lakini siku hizi najifunza uchungajimkuu wewe hata usipotaja nick name yako ya nchawi ni popular sana hapa ndani
mkuu PM yako soon itapata msongamano maana kuna warembo humu wanapenda wanaume warefu kama wewe
kama ni kweli hongera sana, kuanzia leo tutakuita NCHUNGAJINimeacha kuroga lakini siku hizi najifunza uchungaji
Umesahau lile "kiberenge"Binyabinya.. nafikiri linajieleza. Jengine
Korombwezo.. hili sitaki kutoa maelezo
tayari ushajua hivo jiandae kupokea wageni[emoji23] kumbe nna hazina sikujua kabla
hongera Bishop, vipi bado unaendelea kusali?Nilipewa jina la Bishop(askofu) nilikuwa napenda sana kusali kuanzia muda wa kula mimi lazima nianzishe sala,wakati wa kulala nilikuwa mtu wa kwanza kuanzisha sala,hadi kesho familia wanalitumia hilo, kuna kipindi mama alijua nina wito wa kuja kuwa padre
Hilo linauma usinikumbushe..😅Umesahau lile "kiberenge"
ilikua ukweli lakini...sikuwahi kulichukia🙃🙃🙃ulikuaga hulii ukiitwa hivo mkuu?