Kisa nini mzee? Utawawekaje pamoja MESSI na MARADONA??Kikosi chochote akakosekana maradona na messi, basi kikosi hicho ni feki
Usikaze ubongo ni myth story tu hizi, imaginary lineup.... ndio kusema tuite the dream team.Mnakosea kupanga vikosi vyenu vya kubuni, mnapanga kikosi wachezaji wamepishana umri mkubwa wengine wazee wengine vijana yani yamebaki majina tu
Kisa nini mzee? Utawawekaje pamoja MESSI na MARADONA??
Ni sawa na BUFFON na DE GEA waanze wote kikosini.
Kumbuka ni kikosi bora na sio wachezaji bora.
Unaweza kuwa mchezaji bora lkn kwenye namba yako akafit aliyebora zaidi yako.
Kikosi changu Messi hawezi kuanza, Nafasi yake yuko MARADONA...............................9.............................
Maradona.....................Messi
Hapo nimekuwekea namba 9 foward, nyuma yake wanakuwepo Maradona and Messi, nimeshaweka kikosi changu pitia utakiona.
Kikosi changu Messi hawezi kuanza, Nafasi yake yuko MARADONA.
Yaani kikosi Kina MARADONA, PELE, DE LIMA, ZIDANE, RONALDINHO afu MESSI apate namba hapo?? Yaan amtoe nani ili aingie yeye.
Tatizo mmeangalia mpira zama za VAR, Zama ambazo mtu haruhusiwi hata kukugusa.
Kuna mchezaji anamfikia PELE hapo??, Messi mbele ya Dinho hapati namba, nimewaona wote wakicheza.Huenda nimeanza kufuatilia mpira kabla yako, tatizo baadhi ya wabongo ukimkubali mchezaji wa sasa unaonekana umeanza kufuatilia juzi mpira [emoji16][emoji16] hapo wote hakuna anaewafikia Maradona zidane na Messi.
Umeuwa daaah ila Terry na Rio mtihani sana!!Makelele na Patrick Viera pia ni shida.1. Oliver Khan
2. Cafu
3. Robart Carlos
4. Alesabdro Nesta
5. John Tery
6. Claud Makelele
7. Christiano Ronaldo
8. Zinedine Zidane
9. Ronaldo de Lima
10. Leonel Messi
11. Ronaldihn Gaucho.
Coach. Carlo Ancelot
Kuna mchezaji anamfikia PELE hapo??, Messi mbele ya Dinho hapati namba, nimewaona wote wakicheza.
Messi na Cristiano kwangu wote wataanzia Benchi
Kuna mchezaji anamfikia PELE hapo??, Messi mbele ya Dinho hapati namba, nimewaona wote wakicheza.
Messi na Cristiano kwangu wote wataanzia Benchi
Rivaldo, Figo?Buffoon
Thuram
A. Cole
Terry
Nesta
Makekele
Kaka
Rivaldo
Rui Costa
De Lima
Messi
Mbna MAYELE hayumoWasalaam
Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira
Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani .
Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu zinapokumbana na zahma tusiyoipenda
Lakini yote kwa yote, Mpira ni muhimili wetu.
Nakumbuka msemo wa Rafiki yangu mmoja chuoni alikuwa anawambia Marafiki zetu wa kike kwamba
"Kama mwanaume wako hapendi mpira , ni heri ukamfundisha na kufuma vitambaa'
Tuachane na huyo jamaa.
Leo hapa nataka uniwekee kikosi (first Eleven ) Yako/chako bora cha muda wote toka uanze kutazama mpira.
Cha wachezaji wako pendwa katika kikosi chako, mpaka hivi sasa.
Naanza mimi
1. Manuel Neuer
2. Kyle Walker
3. Marcelo
4. Sergio Ramos
5. Cannavaro
6. Sergio Busquets
7. Ronaldinho
8. Iniesta
9. Ronaldo CR7
10. Messi
11. Neymar
Coach Guardiola
Tupia nawewe kikosi chako bora cha muda wote
NB: Kwa mtazamo wako
Jamaa kauliza kikosi bora,sio walio na dread.Mbna MAYELE hayumo