Tupia kikosi chako bora cha muda wote duniani

Tupia kikosi chako bora cha muda wote duniani

1. FRANSISCO TOLDO
2. CAFU
3. LAHM
4. ALESANDRO NESTA
5. RAMOS
6. G GATTUSO
7. CRISTIANO RONALDO
8. ZIDANE
9. RONALDO DE LIMA
10. PELE
11. MARADONA

SUBS
1. CASSILAS
2. DANI ALVES
3. EVRA
4. VIDIC
5. CANNAVARO
6. MAKELELE
7. ROBBEN
8. RONALDINHO
9. GEORGE WEAH
10. KAKA
11. MESSI

Manager: Filipe Scolari
Ass. Jachim Low

MAKOMBR YOTE DUNIANI NTACHUKUA KWA TIMU HIYO HAPO.
 
Kikosi chochote akakosekana maradona na messi, basi kikosi hicho ni feki
Kisa nini mzee? Utawawekaje pamoja MESSI na MARADONA??
Ni sawa na BUFFON na DE GEA waanze wote kikosini.
Kumbuka ni kikosi bora na sio wachezaji bora.
Unaweza kuwa mchezaji bora lkn kwenye namba yako akafit aliyebora zaidi yako.
 
Mnakosea kupanga vikosi vyenu vya kubuni, mnapanga kikosi wachezaji wamepishana umri mkubwa wengine wazee wengine vijana yani yamebaki majina tu
 
Mnakosea kupanga vikosi vyenu vya kubuni, mnapanga kikosi wachezaji wamepishana umri mkubwa wengine wazee wengine vijana yani yamebaki majina tu
Usikaze ubongo ni myth story tu hizi, imaginary lineup.... ndio kusema tuite the dream team.
 
Van desar
Cafu
Roberto carlos
Maldin
Cannavaro
Xavi
Iniesta
Ronaldinho
Messi
Ronaldo
Cristian ronaldo
 
Kisa nini mzee? Utawawekaje pamoja MESSI na MARADONA??
Ni sawa na BUFFON na DE GEA waanze wote kikosini.
Kumbuka ni kikosi bora na sio wachezaji bora.
Unaweza kuwa mchezaji bora lkn kwenye namba yako akafit aliyebora zaidi yako.

..............................9.............................
Maradona.....................Messi

Hapo nimekuwekea namba 9 foward, nyuma yake wanakuwepo Maradona and Messi, nimeshaweka kikosi changu pitia utakiona.

Screenshot_20220606-234610_Chrome.jpg
 
..............................9.............................
Maradona.....................Messi

Hapo nimekuwekea namba 9 foward, nyuma yake wanakuwepo Maradona and Messi, nimeshaweka kikosi changu pitia utakiona.
Kikosi changu Messi hawezi kuanza, Nafasi yake yuko MARADONA.
Yaani kikosi Kina MARADONA, PELE, DE LIMA, ZIDANE, RONALDINHO afu MESSI apate namba hapo?? Yaan amtoe nani ili aingie yeye.
Tatizo mmeangalia mpira zama za VAR, Zama ambazo mtu haruhusiwi hata kukugusa.
 
Huenda nimeanza kufuatilia mpira kabla yako, tatizo baadhi ya wabongo ukimkubali mchezaji wa sasa unaonekana umeanza kufuatilia juzi mpira 😁😁 hapo wote hakuna anaewafikia Maradona zidane na Messi.
 
Huenda nimeanza kufuatilia mpira kabla yako, tatizo baadhi ya wabongo ukimkubali mchezaji wa sasa unaonekana umeanza kufuatilia juzi mpira [emoji16][emoji16] hapo wote hakuna anaewafikia Maradona zidane na Messi.
Kuna mchezaji anamfikia PELE hapo??, Messi mbele ya Dinho hapati namba, nimewaona wote wakicheza.
Messi na Cristiano kwangu wote wataanzia Benchi
 
1. Oliver Khan
2. Cafu
3. Robart Carlos
4. Alesabdro Nesta
5. John Tery
6. Claud Makelele
7. Christiano Ronaldo
8. Zinedine Zidane
9. Ronaldo de Lima
10. Leonel Messi
11. Ronaldihn Gaucho.

Coach. Carlo Ancelot
Umeuwa daaah ila Terry na Rio mtihani sana!!Makelele na Patrick Viera pia ni shida.
 
Buffoon
Thuram
A. Cole
Terry
Nesta
Makekele
Kaka
Rivaldo
Rui Costa
De Lima
Messi
 
1. San Iker
2. Thuram
3. Lahm
4. Fabio Canavaro
5. Victor Costa
6. Scholes
7. Nevded
8. Pirlo
9. De Lima
10. Zidane
11. C Ronaldo
 
Wasalaam

Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira

Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani .
Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu zinapokumbana na zahma tusiyoipenda

Lakini yote kwa yote, Mpira ni muhimili wetu.

Nakumbuka msemo wa Rafiki yangu mmoja chuoni alikuwa anawambia Marafiki zetu wa kike kwamba
"Kama mwanaume wako hapendi mpira , ni heri ukamfundisha na kufuma vitambaa'

Tuachane na huyo jamaa.

Leo hapa nataka uniwekee kikosi (first Eleven ) Yako/chako bora cha muda wote toka uanze kutazama mpira.
Cha wachezaji wako pendwa katika kikosi chako, mpaka hivi sasa.

Naanza mimi

1. Manuel Neuer
2. Kyle Walker
3. Marcelo
4. Sergio Ramos
5. Cannavaro
6. Sergio Busquets
7. Ronaldinho
8. Iniesta
9. Ronaldo CR7
10. Messi
11. Neymar

Coach Guardiola

Tupia nawewe kikosi chako bora cha muda wote

NB: Kwa mtazamo wako
Mbna MAYELE hayumo
 
Niliowatazama mm ni Kipa Manuel Neuer, Kisha Ramos, Thiago Silva, fasi ya nyuma pemben ni Marcelo na Alves, Xavi, Modric na Pirlo ndichi ya kati, Kisha Ronaldo fasi ya kushoto Messi ya kulia na Ibramovic pale ndichi
 
Back
Top Bottom