Tupia majana halisi ya watangazaji wa Redio na TV

NI jina Baya.
Tena simpi Yule punda mzuri ninayempenda, nampa yule ambaye simpendi ambaye kazi yake ni kuka tu kubeba mzigo aah!
Perception yako we unaamini majina mazuri ni Goodluck, Queen, Grace, Jackline ila hilo Mkuwe Isale ni zuri
 
Kuna punda wangu hapa nyumbani sasa nitakuwa namwita 'MKUWE ISALE'πŸ˜‚πŸ€£

Isale ni jina la mti maarufu kule Kilimanjaro ambalo huwa linatumika kimila kama kuomba radhi, kuondoa nuksi, kuweka mipaka ya shamba, kuweka alama kwenye makaburi n.k.Jani la Isale
 

Attachments

  • download (1).jpeg
    4.6 KB · Views: 1
Watangazaji wa redio zinazoishia wilayani tu hatuwasikii redioni kutokana na redio zao kutokusikika nchi nzima, mlioko wilayani tuleteeni a.k.a zao tujue majina yao halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…