secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
- Thread starter
-
- #81
Mkuu huo mti naupata.Isale ni jina la mti maarufu kule Kilimanjaro ambalo huwa linatumika kimila kama kuomba radhi, kuondoa nuksi, kuweka mipaka ya shamba, kuweka alama kwenye makaburi n.k.View attachment 3149274Jani la IsaleView attachment 3149275
Mkuu huo mti naupata.
Nasikia kiingereza alichokijua ilikuwa "are you Simba or Yanga" hapo anaongea na Boss mmoja wa kampuni ya Vodacom aliyeingia stdioni baada ya kusikia mbwembwe za Kitenge na wenzake. Unaambiwa kitenge aliloana kwa jasho mpaka Yule boss wa Vodacom akawa anangalia juu kuona kama kuna kifaa kinachotiririsha maji🤣😂Kocha mchezaji, Mzee wa kunyamatika- Baraka Maulidi Kitenge.
Huyu ni adui yake Genta kwa sababu anapenda sana kuipamba Yanga. Huwa nikisisoma uzi moja uliyokuwa unamzungumzia kama mtu anayeiogopa kiingereza kuliko kifo hawa nabaki kucheka.
Kabisa.Ukiukuta umepandwa mahali ni ishara kwamba hapo ni kwa Mchagga, Mwarusha au Mmeru.
Asije akamwambukiza Zembwela ugonjwa wa kuiogopa kimombo.Nasikia kiingereza alichokijua ilikuwa "are you Simba or Yanga" hapo anaongea na Boss mmoja wa kampuni ya Vodacom aliyeingia stdioni baada ya kusikia mbwembwe za Kitenge na wenzake. Unaambiwa kitenge aliloana kwa jasho mpaka Yule boss wa Vodacom akawa anangalia juu kuona kama kuna kifaa kinachotiririsha maji🤣😂
Wote ni walewale.Asije akamwambukiza Zembwela ugonjwa wa kuiogopa kimombo.
ADAM MCHOMVU, wape mashavu wana,wape mashavu ×2.Je, yule anaekata mitama wenzie majukwaani jina lake halisi ni nani?
🤣Kmmke unachuki binafsiHuyo alishafunguliwa nyuzi nyingi humu, ni mpumbavu mkubwa sana. Kuna picha yake ngoja niitafute kaachia makamasi kama kondoo sufu, alipumua kwa nyuma pale studio mpaka picha za ukutani zikang'ooka.
Adam mchomvuJe, yule anaekata mitama wenzie majukwaani jina lake halisi ni nani?
😂😂😂Mamy Baby anaitwa Mkuwe Isale
Mkazuzu jina lake halisi ni Yahya Mohammed! Jamaa nimeishi naye Shinyanga,alikuwa fundi cherehaniDida tulikuja kujua jina lake halisi baada ya kufariki dunia. Kuna jamaa anaitwa mkazuzu, hili ni jina lake halisi au ni a,k.a?
Je, alikuwa miongoni mwa wale mafundi cherehani waongo waongo wa kuweka kitambaa pembeni ukienda kuchukua nguo mnaanza kutafuta kitambaa wote.Mkazuzu jina lake halisi ni Yahya Mohammed! Jamaa nimeishi naye Shinyanga,alikuwa fundi cherehani
Alikua mmoja wao!Je, alikuwa miongoni mwa wale mafundi cherehani waongo waongo wa kuweka kitambaa pembeni ukienda kuchukua nguo mnaanza kutafuta kitambaa wote.
Naomba unijuze.
Duh! Umenifundisha kitu, njaa ni Nyoko.Alikua mmoja wao!
Walikua nakikundi chao,wanajiita UYGK
1. Ushindi
2. Yahya
3. Gérard
4. Kaombwe!
Walikuwa wahuni wahuni tu! Washenzi kweli kweli!
Wanakopesha ukigoma kulipa wafanyakazi wa Oya wanakuuaOyaaa!
HahahahahhahahahhWanakopesha ukigoma kulipa wafanyakazi wa Oya wanakuua
Ni kweli nilimkta Lindi sec .form oneKijah Yunus nilisoma humu JF jina lake halisi ni Kijakazi Yunus. Ni zuri kabisa
Mamy baby-mkuwe isaleNaomba mnitajie majina ya hawa hapa.
Mamy baby
Titi
Dolidoli.