Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa waendeshaji wa kipindi cha XXL akiwemo Fetty, B12 na huyo mpiga mitamaYupi.
Unamzungumzia yule msambaza mafua siyo.Wa pale mawingu FM
Yeah! Mcomvu AKA mafua, makamasi, nk. Alishawahi kuachia ushuzi pale studio mpaka vioo vya aluminium vikapasuka.Walikuwa waendeshaji wa kipindi cha XXL akiwemo Fetty, B12 na huyo mpiga mitama
Fact*Fredrick bundala A.K.A Sky walker
*SANDU GEORGE A.K.A KID BWAY
Mkazuzu-yaya njengeDiva tulikuja kujua jina lake halisi baada ya kufariki dunia. Kuna jamaa anaitwa mkazuzu, hili ni jina lake halisi au ni a,k.a?
yahya njenge ni mwingineMkazuzu-yaya njenge
Nikajua ndo huyoyahya njenge ni mwingine
pia baby kabaleNaomba mnitajie majina ya hawa hapa.
Mamy baby
Titi
Dolidoli.
Diva kafa lini tena?Diva tulikuja kujua jina lake halisi baada ya kufariki dunia. Kuna jamaa anaitwa mkazuzu, hili ni jina lake halisi au ni a,k.a?
Kafa! Mbona taarif sina.Diva kafa lini tena?
Baby kabaye.pia baby kabale
Nyoko!😂😂Kuna huyu anayejiita Mr mimi, jana lake halisi ni Nyoko Bilmamu.
Sasa mbona Zembwela ana jina Kali kwaiyo wakimuita Hilari David anapoteza vibe auBaadhi ya watangazaji wanatumi majina bandia(AKA) kwa sababu mbalimbali kama vile ubaya wa majina Original, jina kufanana na la kwenye bibilia mfano Yohana, Yeremia, Petero nk. Kwa hakika sababu za watangazaji kutotumia majina yao halisi ni nyingi na kwa bahari nzuri hawakatazwi.
Sasa tumekuwa tukikiwafahamu baadhi ya watangazaji wakubwa na maarufu kwa majina fake.
Kuna baadhi Yao hawataki kabisa kujulikana kwa majina yao halisi utadhani wako jamiiforums (JF), kwa mfano kuna siku nilikuwa nina sikiliza kipindi cha Milazo cha TBC FM kilichokuwa kikiendeshwa na Dan Chibo, sasa kuna mtangazaji alimwita Dan Chibo 'Daniel Chibombo' jamaa hakupendwa kuitwa vile hadi akapoteza vibe lake.
Tusisubiri mpaka mtangazaji afe ndipo tusikie jina lake halisi, naomba tutupie humu hata kama yanafana na viongo vya siri vya binadamu.
Sasa Mimi naanza kuwataja wale ninaowafahamu kama ifuatavyo:
B12-Hmisi Mandi.
Zembwela-Hilari Daudi.
DJ fox-Baltazari Makalio.
Mamy baby -huyu
nimesahau jina lake ambalo ni mbaya mno, mtalikumbishia.
Dulla Planet-Abdala Ambua.
Ongeza unayoyafahamu.
ni dida na si divaDiva kafa lini tena?
Mzee wa Fiesta Kuna msemo alikuwa imewekwa Jingo yake inasema NI SHIDAAAA hiyo ni mwaka 2014Wa pale mawingu FM