Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,152
Ngende sio dawa ila ni eneo maarufu kwa uganga watu wanafata hizo dawa za utajiri ndio wanaita utajiri wa ngende. Ngende ipo Liwale mkoa wa aLindiUnaijua hyo dawa ngende? Ni noma ipo kusini huko ni dawa ya utajiri zamani matajiri wengi walikua na utajiri wa ngende yani kama utajiri wa wakinga ana ghorofa saba kariakoo halafu ana yeboyebo!!