Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,156
Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
 
Iyo ni reflection ya maji(Bahari,maziwa na mabwawa)
Mbona hata sehemu ambazo hazina bahari na mito juu tunaliona wingu la bluu ?

Hiyoo reflection inafanyikaje mpaka sehemu ambazo hakuna hayo mamito na mabahari ionekane ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…