Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Finish
Complete
Kuna tofauti?
IMG_20200527_144012_308.JPG
 
Maandishi, picha, video vinavyorushwa mtandaoni (kwenye internet) vinakaa/vimeshikiliwa/vinatunzwa wapi
Vinatunzwa kwenye servers (computer) za wamiliki wa hizo websites.

I stand to be corrected
 
Mbona hata sehemu ambazo hazina bahari na mito juu tunaliona wingu la bluu ?

Hiyoo reflection inafanyikaje mpaka sehemu ambazo hakuna hayo mamito na mabahari ionekane ?
75% ya dunia ni maji broo
 
Hivi ni kweli mtoto akizaliwa tu analia? Na je tumboni huwa halii hasa kwenye miezi tisa
 
Diamond na Ali kiba nani msanii bora Tz?

CR7 na Leo Messi nani mchezaji mkali kwa kizazi chetu?

Daima hayo maswali mwafaka huwaga haupatikani.
 
Hivi ni kweli mtoto akizaliwa tu analia? Na je tumboni huwa halii hasa kwenye miezi tisa
Analia coz Anakutana na dunia iliyojaa shida, wakati waliopo wanamcheka kwa kuwa amekuja ila siku ya kuondoka wale waliomcheka watalia, halafu yeye nae atawacheka kwa kuwa anawaacha na shidazao
 
Back
Top Bottom