Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Hahaa huyu swalehe ni shida sana !!
 
Hahahah sio mchezo, sijawahi Kula ban toka nijiunge humu
Acha utan ban tamu kinoma yan upo serious hujawah kula ban tamu balaa hasa ukiila na kachumbar ukashushia na pepsii...... Hee[emoji15] kwan nyie mnasemea bani IPI !?
 

Dah, hongera sana mkuu.

Kungekuwa na ruhusa ya kumpa mtu like zaidi ya moja ningekupa 100likes mkuu.

Congratulations.
 
Sababu mkuu...?
Ktk uzi wake alieleza mengi lakini kubwa ilikuwa shutuma kwa uingozi " mods ". Lakini jf ni addiction kama alvyosema ntu mmoja huko juu jamaa inasemekana alirudi kwa id nyingine kama alwatan kama sikosei. Huyo jamaa ni mzuri ktk kujenga hoja kimaantiki haujalishi ni kweli ama la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…