Tupia nguo yako kali unayoikubali muda wote

swagger swaggan.
Bila shaka hawa watakua dada zetu wakisukuma.

Huwa nacheka mim mdada kavaa viatu vyenye kisigino kirefu.
Anavotembea sasa daa unamwona kabsa anahangaika
 
Napenda kuvaa suruali na sneakers mara nyingi kwa sababu zinanifanya nijisikie comfortable nguo ya juu inategemea aina ya suruali niliyoivaa

High heels hivi viatu na huu mwili lol navaa mara chache sana, labda kwenye matukio maalumu kama church
 
hizo high heels huwa hutembei kama unavuruga tope majaruban kwel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…