Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Basi tu kujaribu vitu!😆hamjanikosea ndo mtembee mwondoko kama mnataka kudondoka kwel?
SI bora kuva viatu simple tu kama huwez mchuchumio
Basi tu kujaribu vitu!😆hamjanikosea ndo mtembee mwondoko kama mnataka kudondoka kwel?
SI bora kuva viatu simple tu kama huwez mchuchumio
au ndo ubunifu? kama ndo mke wangu afu anashindwa kuvitembelea. hatuongozan walahBasi tu kujaribu vitu!
bora yako wew umejisalimisha mapema mambo ya kithungu huyawez.hapana natembea vizuri ila siwi comfortable nawahi kuchoka
Mambo haya yana wenyewe
Aibu ndogo ndogo sitaki 😁😁bora yako wew umejisalimisha mapema mambo ya kithungu huyawez.
Tungekurusha tiktok how you walk, when u ware high heels shoes.
Itabidi tu umueleze ukweli aachane na hiyo aibu!au ndo ubunifu? kama ndo mke wangu afu anashindwa kuvitembelea. hatuongozan walah
umakin mda wote sioAibu ndogo ndogo sitaki
si ataona hupend anavo vaa na kuhs umeanza kumchoka.Itabidi tu umueleze ukweli aachane na hiyo aibu!
Wanawake tuna tabu sana!si ataona hupend anavo vaa na kuhs umeanza kumchoka.
Tena akisifiwa huko nje na kajamaa kuwa amependeza na wakat wew umemwambia haijamkaa vizuri ndo basi tena huna chako
kumbe nawew umeona dadaWanawake tuna tabu sana!
Nimeona, pole sana!kumbe nawew umeona dada
Machizi tupo shazi aisee🤣
Acha ubaguzi basi, Wengine tshirt na jeans sio pigo zetu😑Machizi tupo shazi aisee🤣
Ndio upige kanzu na pensi?😃Acha ubaguzi basi, Wengine tshirt na jeans sio pigo zetu😑
Kanzu Bila "back up" unaweza ukaadhirika kwenye kadamnasi😅.Ndio upige kanzu na pensi?😃