Tupia nguo yako kali unayoikubali muda wote

Itabidi tu umueleze ukweli aachane na hiyo aibu!
si ataona hupend anavo vaa na kuhs umeanza kumchoka.
Tena akisifiwa huko nje na kajamaa kuwa amependeza na wakat wew umemwambia haijamkaa vizuri ndo basi tena huna chako
 
si ataona hupend anavo vaa na kuhs umeanza kumchoka.
Tena akisifiwa huko nje na kajamaa kuwa amependeza na wakat wew umemwambia haijamkaa vizuri ndo basi tena huna chako
Wanawake tuna tabu sana!
 
Mimi kama mimi
 

Attachments

  • image.jpg
    125.3 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…