EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #21
Mkuu yaani pamoja na mwanga wa taa na object ipo karibu kabisa umetoa picha mbovu hivyo? Hebu rudia zoezi maana haina kabisa focus check vipele!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu yaani pamoja na mwanga wa taa na object ipo karibu kabisa umetoa picha mbovu hivyo? Hebu rudia zoezi maana haina kabisa focus check vipele!!
iPhone 11iko poa ila hujasema ni simu gani
Hii imetoka poa ila mazingira na mwanga vimechangia parefuTecno Phantom 8...View attachment 2121748
This is so clear, LG gani?
Hamna kitu angalia kidole gumba kimefifia hakina focus licha ya kupiga karibu, ila sogeza mkono mbele kidoogo itapata focusitel Pro OView attachment 2121869
LG G8Xthis is so clear LG gani?
Iko poa saanaLG G8X
Inajitahidi ila picha sio angavuTecno C8 ndogo ya ile ya Luteni Urio
View attachment 2121884
Haiwezi kuwa angavu kwavile kulikua na giza la wingu la mvuaInajitahidi ila picha sio angavu
[emoji1756][emoji1756]Haiwezi kua angavu kwavile kulikua na giza la wingu la mvua