Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ka imepitia editing hivi#shotwithgalaxyView attachment 2121346
Umeimodify na Gcam?
[emoji28]JJf
Jf kila member ana travolta
Nokia 3310 pro max plus.Habarini wadau.
Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu.
IPhone 13 camera hamna kitu
Yaani kwa hizi samsung yenye note na S series, kama uchumi upo chini labda ununue S10+ au laa note 9, chini ya hapo camera ukungu[emoji38]Nafikiria mno s10 plus.www.jamiiforums.com
Tuyaache hayo leo, nimepata wazo la kuja na mchuano wa simu gani inatoa picha kali, weka picha ambayo utapiga baada ya kusoma uzi "usilete za nyuma" haijalishi mazingira ulipo wala wakati iwe usiku au mchana.
Hii itatusaidia kufanya uchaguzi mzuri wa simu kwa wataotaka kubadili simu.
Weka picha na utuambie umepiga picha na simu ya aina gani, Sometimes specs tunazozisoma kwenye vifaa aua GSMARENA ni kama wanatupanga vile.
Hapa ni aina yoyote ya simu ukipost tuambie ni simu gani.
Uwanja ni wenu.
Mimea gani hii aisee
Kitimoto rosty na ndizi choma🤣Nokia 3310 pro max plus.View attachment 2122272
Hapa nikifika ni mkaa tuu mafuta yapo kwenye nyama [emoji38]Kitimoto rosty na ndizi choma[emoji1787]
Picha za Indoors huwezi jua ubora wa camera yako mara nyingi.[emoji1313][emoji1313][emoji1313] Samsung note8[emoji41]View attachment 2120978
Moja kati ya simu niliielewaga sana.
Simu gani? Picha nzuri
Poor Depth estimation kwenye bega moja na viganja.Samsung a52 potrait modeView attachment 2121378
Shukrani [emoji106][emoji106][emoji106]safi