Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

MI 8 tena

Japo nikiupload picha huku JF zinapoteza details (pixels) wanaojuwa kuupload with full details wanipe somo
IMG_20220220_140949.jpg
 
Badilisha vyuma vya dirisha...toa hizo flat bars weka square pipes au kama bajeti ndogo weka nondo
Yaani huku ndani wizi wake kidogo, shida hivyo vitu vya nje, hapo ni shamba mkuu, yaani walivyoiba ndani mpaka leo vichache mnoo, ila huko nje, kuna minazi km 100 hiv, wanaiba kinyama, na naimani nikienda kukaa sababu ya mifugo na vitu vingine watakuja sana kuiba, ndio hapa kichwa kinawaka moto, natamani ningekuwa jumong.
 
Back
Top Bottom