Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

Aisee Kuna jamaa hapa mtaani kanunua note 21 utra 5g akanipa nimsetie baadhi ya vitu nikasema ngoja nifanye comparison ya camera yangu ya pixel 4a 5g alooo ile Samsung ni utumbo[emoji2] hizi hapa. Frame no. 1 ni pixel 4a 5g frame no. 2 ni note 21 utra
 
Iyo 21 ultra ina filters zake baada ya kupiga picha sasa wewe umechukua picha kazi kama ilivyo ulitakiwa uende kwenye uweke auto na remaster ndio ulinganishe halafu uone balaa lake
 
Iyo 21 ultra ina filters zake baada ya kupiga picha sasa wewe umechukua picha kazi kama ilivyo ulitakiwa uende kwenye uweke auto na remaster ndio ulinganishe halafu uone balaa lake
Mkuuu hamna kitu hiyo camera nimeikagua ilishatekenywa kaka ni refurbished sijui unanielewa najua utapinga ila nimejaribu vyote hivyo hamna kitu selfie ndo nimeiona Iko njema lakini back camera hamna kitu kiufupi huyu jamaa ni mjuaji halafu hanaga utaalamu wa maswala ya simu Huwa namwambiaga ukitaka simu nicheki nikakupeleke uchukue mali safi kaenda sijui wapi wamempiga 1.2m Sasa hiyo Hela si unapata s22 utra kabisa [emoji2]
 
Kama ni refurbished hapo naweza kuamini

Maana S21 Ultra ni moja ya flagship zenye kamera bora zaidi za 2021. Ipo vizuri sana
Kama isingekuwa refurbished ungelinganisha S21 Ultra ndio ingekuwa kali zaidi

Kuna mambo mengi kwenye kamera kama colour science, optical zoom, ubora wa ultrawide camera, effectiveness ya Auto focus na mambo mengi ambayo flagship ndio huwa nzuri zaidi

Pia S22 Ultra kwa 1.2M hiyo ni mpya au used?
 
Used mzee non active kwa hiyo bei uongo Yan jamaa kapigwa Kuna muda anaona Hadi jau kuitoa hata kupiga picha maana ni kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…