Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii simu kwa sasa inaenda kama ngapi?Note 20 ultra
View attachment 2702984
Kagua simu ukiridhika nayo vuta ndo Bei zake hizoLeo nimeenda China plaza kuulizia google pixel 6a nikaambiwa nitoe 650k, vp wakuu kwa wanaopajua pale vzr nitoe hiyo pesa.?
Mbwa Huyo Bei Gan
Hauzwii mkuuMbwa Huyo Bei Gan
Iyo 21 ultra ina filters zake baada ya kupiga picha sasa wewe umechukua picha kazi kama ilivyo ulitakiwa uende kwenye uweke auto na remaster ndio ulinganishe halafu uone balaa lakeAisee Kuna jamaa hapa mtaani kanunua note 21 utra 5g akanipa nimsetie baadhi ya vitu nikasema ngoja nifanye comparison ya camera yangu ya pixel 4a 5g alooo ile Samsung ni utumbo[emoji2] hizi hapa. Frame no. 1 ni pixel 4a 5g frame no. 2 ni note 21 utra View attachment 2714098View attachment 2714099
Mkuuu hamna kitu hiyo camera nimeikagua ilishatekenywa kaka ni refurbished sijui unanielewa najua utapinga ila nimejaribu vyote hivyo hamna kitu selfie ndo nimeiona Iko njema lakini back camera hamna kitu kiufupi huyu jamaa ni mjuaji halafu hanaga utaalamu wa maswala ya simu Huwa namwambiaga ukitaka simu nicheki nikakupeleke uchukue mali safi kaenda sijui wapi wamempiga 1.2m Sasa hiyo Hela si unapata s22 utra kabisa [emoji2]Iyo 21 ultra ina filters zake baada ya kupiga picha sasa wewe umechukua picha kazi kama ilivyo ulitakiwa uende kwenye uweke auto na remaster ndio ulinganishe halafu uone balaa lake
Kama ni refurbished hapo naweza kuaminiMkuuu hamna kitu hiyo camera nimeikagua ilishatekenywa kaka ni refurbished sijui unanielewa najua utapinga ila nimejaribu vyote hivyo hamna kitu selfie ndo nimeiona Iko njema lakini back camera hamna kitu kiufupi huyu jamaa ni mjuaji halafu hanaga utaalamu wa maswala ya simu Huwa namwambiaga ukitaka simu nicheki nikakupeleke uchukue mali safi kaenda sijui wapi wamempiga 1.2m Sasa hiyo Hela si unapata s22 utra kabisa [emoji2]
Used mzee non active kwa hiyo bei uongo Yan jamaa kapigwa Kuna muda anaona Hadi jau kuitoa hata kupiga picha maana ni kitukoKama ni refurbished hapo naweza kuamini
Maana S21 Ultra ni moja ya flagship zenye kamera bora zaidi za 2021. Ipo vizuri sana
Kama isingekuwa refurbished ungelinganisha S21 Ultra ndio ingekuwa kali zaidi
Kuna mambo mengi kwenye kamera kama colour science, optical zoom, ubora wa ultrawide camera, effectiveness ya Auto focus na mambo mengi ambayo flagship ndio huwa nzuri zaidi
Pia S22 Ultra kwa 1.2M hiyo ni mpya au used?
Hii hapo mibie simu gan nimepigia picha[emoji8][emoji8]View attachment 2719795mbona ni sura ya mtu🤣