Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Mkuu hiyo sura inafanana na avatar ya member mmoja humu JF anaitwa Wastendi 😁Samsung a52 potrait modeView attachment 2121378
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo sura inafanana na avatar ya member mmoja humu JF anaitwa Wastendi 😁Samsung a52 potrait modeView attachment 2121378
Weka nyingine hii imepoteza focus angalia janiPixel 7 pro
View attachment 2615413
boss vip , iv huawei 10 lite uwa bei gani
P10liteboss vip , iv huawei 10 lite uwa bei gani
kwa sasa ipo kwenye 400+. ila spea zake mzee hakuna ikizingua betri utapata hivyo vingine huwez pataboss vip , iv huawei 10 lite uwa bei gani
Aaah ok shukran mkuukwa sasa ipo kwenye 400+. ila spea zake mzee hakuna ikizingua betri utapata hivyo vingine huwez pata
Samsung AO2 ya gb 64Habarini wadau.
Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu.
IPhone 13 camera hamna kitu
Yaani kwa hizi samsung yenye note na S series, kama uchumi upo chini labda ununue S10+ au laa note 9, chini ya hapo camera ukungu[emoji38]Nafikiria mno s10 plus.www.jamiiforums.com
Tuyaache hayo leo, nimepata wazo la kuja na mchuano wa simu gani inatoa picha kali, weka picha ambayo utapiga baada ya kusoma uzi "usilete za nyuma" haijalishi mazingira ulipo wala wakati iwe usiku au mchana.
Hii itatusaidia kufanya uchaguzi mzuri wa simu kwa wataotaka kubadili simu.
Weka picha na utuambie umepiga picha na simu ya aina gani, Sometimes specs tunazozisoma kwenye vifaa aua GSMARENA ni kama wanatupanga vile.
Hapa ni aina yoyote ya simu ukipost tuambie ni simu gani.
Uwanja ni wenu.
Perfect focus