Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

Aisee Kuna jamaa hapa mtaani kanunua note 21 utra 5g akanipa nimsetie baadhi ya vitu nikasema ngoja nifanye comparison ya camera yangu ya pixel 4a 5g alooo ile Samsung ni utumbo[emoji2] hizi hapa. Frame no. 1 ni pixel 4a 5g frame no. 2 ni note 21 utra View attachment 2714098View attachment 2714099
Hujafanya adjustment za kutosha au pengine ya juu ni samsung na chini ni G
 
Attachments

  • Screenshot_20230818-151057_Chrome.jpg
    Screenshot_20230818-151057_Chrome.jpg
    165.7 KB · Views: 9
Hujafanya adjustment za kutosha au pengine ya juu ni samsung na chini ni G
Hamna Cha settings mzee Mimi ni mtaalam kinoma wa simu nimefanya settings zote ila nimegundua ile simu imetekenywa Yani camera zimebadilishwa
 
Back
Top Bottom