Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Nampenda sana mwanamke huyu na popote alipo sifa zangu toka moyoni zikufikie.

Nimemtafakari kwa kina sana na kujiuliza kwanini mabinti bongo wamemjengea chuki

Jibu; Zari ni mzuri hakuna anaemzidi hvyo wanabaki na donge au chuki moyon wanatamani kuwa kama yeye.

SIFA ZAKE TUANGALIE
1.Zari ana mwili laini sana
2.Umbo namba 8
3.Rangi imetulia
4.Ukihitaji mguu wa bia anao
5.Kupangilia mavazi anajua
6.Ni mama watoto 5 lakini utasema ni kigoli
7.Ana akili ya kutafuta
8.Kujipenda

Zari Mungu amekusuka kama engine hujaumbwa, wengine wanatamani kuwa kama wewe, hata kama umezaa watoto 3 lakini Diamond ameokota mgodi wa dhahabu au dodo kwenye mwarobaini.

Zari umetokea sayari ambayo wanaishi malaika tupu ni bahati mbaya ukaangukia duniani.

Binafsi wazee Zari nina sifa nyingi za kusema lakini wacha nikae kimya.

ZARI WEWE NI HABARI NYINGINE UPO DUNIANI BAHATI MBAYA ULIPASWA KUWA MALAIKA HUSTAHILI HATA VUMBI LIKUGUSE NATAMANI HATA KUWA HOUSEBOY WAKO PAMOJA NA KUWA UNDERGRADUATE ILI NIKUONE NIKIWA NAMWAGILIA BUSTANI AU KUSAFISHA NYUMBA NIPATE HATA ILE HARUFU YA PAFYUMU YA 2MILLION
ZARI WANAWAKE KWA WAUME WANAKUKUBALI MOYONI KUANZIA UG HADI TZ


zari-hassan-dangote.jpg

Kama wewe mbishi tupia bint anaemzidi uzuri zari The Angel
 
Nampenda sana mwanamke huyu na popote alipo sifa zangu toka moyoni zikufikie
Nimemtafakari kwa kina sana na kujiuliza
Kwann Mabinti bongo wamemjengea chuki (TANZANIA)
jibu ;Zari ni mzuri hakuna anaemzidi hvyo wanabaki na donge au chuki moyon wanatamani kuwa kama yeye
SIFA ZAKE TUANGALIE
1.Zari ana mwili laini sana
2.Umbo namba 8
3Rangi imetulia
4.Ukihitaji mguu wa bia anao
5.Kupangilia mavazi anajua
6.Ni mama watoto 5 lakini utasema ni kigoli
7.Ana akili ya kutafuta
8.Kujipenda
Zari Mungu amekusuka kama Engine hujaumbwa wengine wanatamani kuwa kama wewe
Hata kama umezaa watoto 3 lakini Diamond ameokota mgodi wa dhahabu au dodo kwenye mwarobaini
Zari umetokea sayari ambayo wanaishi malaika tupu ni bahati mbaya ukaangukia duniani
Binafsi wazee zari nina sifa nyingi za kusema lakini wacha nikae kimya
ZARI WEWE NI HABARI NYINGINE



zari-hassan-dangote.jpg

Kama wewe mbishi tupia bint anaemzidi uzuri zari The Angel
Yaani hakuna ubishi
 
Anaemzidi Zari Kwa uzuri wa kila kitu??!! Hapo mkuu paweke vizuri ili wakianza kumwaga anaemzidi Zari ikae sawa.... Uzuri wa kila kitu sio muonekano tu, mengine anayajua Diamond na wenzake waliokwishakuwa na Zari.
 
Ngozi laini?ulishamshika???rangi nzuri[emoji3][emoji3]ingekua og basi[emoji3][emoji3]umbo namba nane[emoji3][emoji3]vipi kuhusu zile tait anazopigilia??mwambie aache kushonea wiving,aspake make up,wala asijijaladie,umfotoe afu uje tena kumpambanisha hapa
 
Back
Top Bottom