Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Nyinyi wavulana wa mikoani mnatuaibisha sana, huyo ni mama wa watoto saba nafikiri, ni mwanamke wa kawaida sana, sisi huku mjini ata wafanya usafi wa kwenye majengo yetu ni wazuri mara mia mbili ya huyo mama. Njoo mjini, ukae kituo cha mabasi cha posta mpya kuanzia asubuhi mpaka jioni alafu utajuta kwanini unaishi huko vijijini ambako wanawake wenu wamechukua sura za babu zao.
 
Tupendw sie flatscreen
Bora yenu , mwanamke wakiafrika sifa yake ni uhalisia !!.

Sawa unakuta MTU anapata shidaaaa kisa anatafuta makalio !!.

Nmekupenda bure Dina !! Nahivi majibh yako yako Poa ,ila sharit nikupimishe upya Mimi mwenyewe !!.
 
Behaviourist ananiponda sana kisa mi flat yaan bora hata we umenisifia
Tutapima tu wala usijali
 
Uzuri gani alokuwa nao kuwashinda wanawake wote wa Tanzania? Pengine mzee unakaa uswazi kama ni ivo sikulaumu, mana siku ukifika mjini unaweza ukafa kwa kuona usichotegemea.
 
Behaviourist ananiponda sana kisa mi flat yaan bora hata we umenisifia
Tutapima tu wala usijali
Wala usijali ,Mimi nitakupenda na kukuheshimu!!.Ili mradi unanipa kitu penda roho!!.

Asante kwa kukubali kupima upya !!
 
Back
Top Bottom