Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Sizani kama kwenu hamna maeneo mazuri yako tena inawezekana kuzidi , tutumie picha tufurahie uzuri mkuu.
Hakuna cha kufurahia thread imeanzishwa kisifa sifa Hii.

You must stop Nepotism
 
[emoji23][emoji23] Ruvuma eeeh! Ila kuna sehemu nzuri pia,,zipost
Ruvuma kuna sehemu gan nzuri?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinichekeshe mie. Makao makuu ya mkoa utasema tarafa fulani hivi.
Nyie Songea kuna mambo yanaliza mno.
 

Fvck! huna hela halafu unataka heshima. Utajifunza kutafuta lini?!
 
Ruvuma kuna sehemu gan nzuri?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinichekeshe mie. Makao makuu ya mkoa utasema tarafa fulani hivi.
Nyie Songea kuna mambo yanaliza mno.
Mmmh coca uongo huooo, nishakaa kule miezi kadhaa, post hata kijani kibichi cha Msamala na ile bara bara ya shule ya Tanga. Songea mjini pazuri mno kulinganisha na wilaya nyngi mno za mikoa mingine. Kuna watu kwao ni kubaya kuliko Songea, ila wana post! Sembuse weweeee
 
Mbona kama una kachuki fulani.shida ya hiyo post ni nini? Mfano ningepost
"Dar es salaam,uzaramoni" kuna ubaya gani kusifia kwao?
Sasa wewe mbona huoni point yangu Nan kaanzisha ukabila hapo mbona watu wajinga mko wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…