Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Mshaanza ujinga na ushamba kumepauka ujinga tupu

Ukabila acheni pambana na Maisha yenu bakini huko huko mtapeliane vizuri

Sasa mbona kama unamakasiriko muanzisha uzi ajaongealea chochote kuhusu ukabila

Ngoja nikuulize kwani Kilimanjaro wanakaa wachaga pekee yake

We kama unaona haikuhusu mbona uzi ziko nyingi huku au anzisha uzi wa eneo lenu[emoji23]
 
Unakuta mtu anasifia kwetu lami mpaka ndani lakin kwao ni hapo
Wachaga bwana[emoji28]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣

My anaposti mijumba ya kina Mengo, Mramba.

Kumbe kwao Ni hapa👇👇👇
IMG_20220724_103521_HDR.jpg
 
Sasa mbona kama unamakasiriko muanzisha uzi ajaongealea chochote kuhusu ukabila

Ngoja nikuulize kwani Kilimanjaro wanakaa wachaga pekee yake

We kama unaona haikuhusu mbona uzi ziko nyingi huku au anzisha uzi wa eneo lenu[emoji23]
Ona ulivyokuwa thenge nimamwambia mleta uzi kwani Kilimanjaro Kuna wachaga pekee si Kuna wapare kasema uchagni

Ulivyokuwa mjinga hujui umeandika soma kaandika uchagani nimamwambia hata wapre si wapo

Kingine mjadala ulishaisha nilitoa hoja yangu sipendi kuendelea na mjadala
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My anaposti mijumba ya kina Mengo, Mramba.

Kumbe kwao Ni hapa[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2302089
Sio kwao sema kwangu naweza kukupa mwaliko uje upaone mkuu, ukitoka apa uje na moro pia nmejenga nakutengeneza mazingira ya ukijaan mkuu.
 
Kilimanjaro especially wilaya ya Moshi ni one among the best to hang around especially ukiwa likizo na una kibunda chako.

Pazuri sana. Na wenyeji wake ni wakarimu ukiwa mstaarabu. Na very friendly ukiwa mtu wa kujiongeza unapokuwa nao.

Si kweli kuwa wanaendekeza kupenda pesa hiyo ni tabia ta kupakazia. Me nimekaa nao. Ni miongoni mwa jamii zenye maadili mazuri tu.

Nakumbuka tulikwenda milimani kule tulikaribishwa nyama ya mbuzi, mbege, pilau matunda. Na tulipoondoka walitufungia ya kwenda nayo. Ni kijijini kwa rafiki yangu anaitwa Mushi. Walitukirimu vizuri sana hadi nikajihisi pengine me ni mzungu halafu sijui.

Ukitoa kakitu kidogo utaheshimishwa hadi basi. Nakumbuka tulienda kwenye hafla ya kukomboa mtoto ya mwenzetu. Alipotimiza masharti tukapokelewa kwa tafrija. So tulikwenda na zawadi na kutatoa pesa ya vinywaji na chakula. Walituchangamkia sana. Wadada wakawa wanatuhudumia utadhani tumetoka ukoo wa ufalme.
Roho mbaya haina kabila ndugu yangu walikua hawajui.
 
Ona ulivyokuwa thenge nimamwambia mleta uzi kwani Kilimanjaro Kuna wachaga pekee si Kuna wapare kasema uchagni

Ulivyokuwa mjinga hujui umeandika soma kaandika uchagani nimamwambia hata wapre si wapo

Kingine mjadala ulishaisha nilitoa hoja yangu sipendi kuendelea na mjadala

Asee unashida wewe
 
Hapafikii hata nusu ya uhayani utaki unaacha
Siku hiz wachaga ndo wana sifa kupita maelezo tena nyingine za uongo...bora hata wahaya wanajisifiaga walicho nacho..hawa wanajisifu uongo uongo tu..

Lakin huku vijijini bukoba kunazidi kunawiri kila siku yaan kuna mijumba na mansion na wahaya wapo kimya..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Siku hiz wachaga ndo wana sifa kupita maelezo tena nyingine za uongo...bora hata wahaya wanajisifiaga walicho nacho..hawa wanajisifu uongo uongo tu..

Lakin huku vijijini bukoba kunazidi kunawiri kila siku yaan kuna mijumba na mansion na wahaya wapo kimya..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu asiyependa sifa mazur tunasifia kwangu Nan kasema bukoba nipabaya? Unaweza kupasifia tu bila kupahusisha na mkoa mwingne , mbona mbele na iringa ni pazuri kuliko sehemu nyingi tz na hawalalami kama nyie wa bukoba,? Japo sio wote.
 
Siku hiz wachaga ndo wana sifa kupita maelezo tena nyingine za uongo...bora hata wahaya wanajisifiaga walicho nacho..hawa wanajisifu uongo uongo tu..

Lakin huku vijijini bukoba kunazidi kunawiri kila siku yaan kuna mijumba na mansion na wahaya wapo kimya..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mchagga Yuko tayari kumtelekeza MKE, MZAZI au BIBI yake mwaka MZIMA, bila kujua ANAKULA Nini, anatibiwa Vipi au anaishi vipi.

Baadaye, December anakuja siku 5 kabla ya Christmas na KIGARI CHA KUKODI huko KIMARA.

Anamchukua Bibi yake anamleta Hospital, kwa Mbwembwe anauliza NAMHITAJI DOKTA MKUU🤣🤣

So, Unajiuliza mwaka mzima huyo MZAZI wako anateseka wewe haupo unadhani Nani alikuwa ANAMSAIDIA.
 
Ukienda mita 500 mbele ya hili jengo Ni MASHAMBANI kabisa, Hakuna Cha maana zaidi ya MITEREMKO, TOPE, VICHAKA na MIGOMBANI.
Yah Kwa hiyo unatakaje ? Wewe ni mtu mzima kabsa unategemewa na taifa be positive.
 
Mchagga Yuko tayari kumtelekeza MAKE, MZAZI au BIBI yake mwaka MZIMA, bila kujua ANAKULA Nini, anatibiwa Vipi au anaishi vipi.

Baadaye, December anakuja siku 5 kabla ya Christmas na KIGARI CHA KUKODI huko KIMARA.

Anamchukua Bibi yake anamleta Hospital, kwa Mbwembwe anauliza NAMHIRAJI DOKTA MKUU[emoji1787][emoji1787]

So, Unajiuliza mwaka mzima huyo MZAZI wako anateseka wewe haupo unadhani Nani alikuwa ANAMSAIDIA.
Mbona mimi sifanyi hivyo ?
 
Back
Top Bottom