Tupia picha za Aziz Ki Day hapa

Haji Manara kipindi akiwa na akili zake timamu aliwahi kutuambia kuwa β€œkule Yanga wenye akili ni wawili tu, baba yake na Jakaya Kikwete tu”.

Nimeamini ile kauli inaishi. Kuelekea Mchezo wao wa kimataifa weekend hii, Yanga wamekuja na slogan ya Aziz Key Day. Yaani wanaiga yale ayafanyayo Azizi akiwa uwanjani.
Sasa kuna vituko vinavyoendelea huko mitandaoni, ambavyo unaona kabisa watu wanaupungufu wa akili.

Hiyo Azizi Key Day iangaliwe na umri wa kufanya upuuuzi huo🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…