Tupia picha za Aziz Ki Day hapa

Tupia picha za Aziz Ki Day hapa

Haji Manara kipindi akiwa na akili zake timamu aliwahi kutuambia kuwa “kule Yanga wenye akili ni wawili tu, baba yake na Jakaya Kikwete tu”.

Nimeamini ile kauli inaishi. Kuelekea Mchezo wao wa kimataifa weekend hii, Yanga wamekuja na slogan ya Aziz Key Day. Yaani wanaiga yale ayafanyayo Azizi akiwa uwanjani.
Sasa kuna vituko vinavyoendelea huko mitandaoni, ambavyo unaona kabisa watu wanaupungufu wa akili.

Hiyo Azizi Key Day iangaliwe na umri wa kufanya upuuuzi huo🤣🤣
View attachment 2764080View attachment 2764081
Alikamwe hapa kafanya upuuzi
 
Nikiongea naonekana nawachukia yanga.

Hayajawahi kuwa na Akili haya majinga.
 
IMG-20230927-WA0082.jpg
 
Kwani wewe umri wako utabakia ulivyo?, Acha wivu piga picha wacha moyo upumue... B...f
Kwani mi nimesema mi mtoto,??Pole kama imekuchoma muwe mnavaa vitu vinaendana na umri wenu
 
Akivaa hivyo wewe unakuathiri nini?, Au ndio unapenda ila huna chakukufanya uvae hivyo😅
 
Haji Manara kipindi akiwa na akili zake timamu aliwahi kutuambia kuwa “kule Yanga wenye akili ni wawili tu, baba yake na Jakaya Kikwete tu”.

Nimeamini ile kauli inaishi. Kuelekea Mchezo wao wa kimataifa weekend hii, Yanga wamekuja na slogan ya Aziz Key Day. Yaani wanaiga yale ayafanyayo Azizi akiwa uwanjani.
Sasa kuna vituko vinavyoendelea huko mitandaoni, ambavyo unaona kabisa watu wanaupungufu wa akili.

Hiyo Azizi Key Day iangaliwe na umri wa kufanya upuuuzi huo🤣🤣
View attachment 2764080View attachment 2764081
Naona Dar wanaume siku hizi wanashindana kufuga tumbo...mambo ya 'paki sita' tupa kule😁
 
Akivaa hivyo wewe unakuathiri nini?, Au ndio unapenda ila huna chakukufanya uvae hivyo😅
Inashauriwa kupika hata kauji kepesi Ili kupoza njaa inapokuwa Kali,maana level ya makasiriko inaongezeka sana... jitahidi upate kauji utaacha kujibishana hovyo humu na kila anaye comment...
 
musepue namidomo Sasa msiishie kukunja bukta tuu ilimumuenzi vizuri
 
Back
Top Bottom