Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
hii kitu ni mahususi kwa vijana wa dareselama sitarajii kijana wa mkoani kwenye hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naanza kwa kuweka picha za Aziz 🔑 🗝 🔐 day
Uzi tayariView attachment 2764023
View attachment 2764022
Sasa nini kimekushinda mpaka mda huu wakati nahitaji kulogwa hapa🤣🤣🤣🤣Mganga yupi tena wakati huyo mganga ndio Mimi mwenyewe?
Una hamu kula ban nyingine?Kwanilazima vikupendeze wewe mjinga.
🤣🤣🤣Naroga Kwa maelezo spesheliSasa nini kimekushinda mpaka mda huu wakati nahitaji kulogwa hapa🤣🤣🤣🤣
Unasubiri Ili iweje endelea kuchangamkanasubiria ban wee ndezi
Km huna chakuonesha tunza fito zako😅🙄Inashauriwa kupika hata kauji kepesi Ili kupoza njaa inapokuwa Kali,maana level ya makasiriko inaongezeka sana... jitahidi upate kauji utaacha kujibishana hovyo humu na kila anaye comment...
Kwani umeambiwa ni lazima?, Au Kuna mahali Kamwe kaongea kuvaa hivyo?. Usilolipenda usilazimishe wenzako wasikipende!.Mim ni yanga ila kuka kipuuz ni upuuz
🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja kwanza nisikilize nyimbo ya Abiud Mishol Simama Mwenyewe Bwana🤣🤣🤣Naroga Kwa maelezo spesheli
Sawa kakaKwani umeambiwa ni lazima?, Au Kuna mahali Kamwe kaongea kuvaa hivyo?. Usilolipenda usilazimishe wenzako wasikipende!.
Akivaa hivyo wewe unakuathiri nini?, Au ndio unapenda ila huna chakukufanya uvae hivyo
Apige picha atuwekee fito au spoku zake tuzione hapa.😄😄😄😄Kwani wewe umri wako utabakia ulivyo?, Acha wivu piga picha wacha moyo upumue... B...f
Sisi tumemjua labda huko Kenya ndio kuna hayo mabatman 😄😄😄Jamani hiki nacho ni kituko gani? 🥱 😆😂🤣 Popo siyo popo, batman siyo batman. Yaani hata haijulikani.
🤣🤣🤣🤣🤣Ukimaliza sindikizia na Sedekia ule wa Nitaimba heluya🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja kwanza nisikilize nyimbo ya Abiud Mishol Simama Mwenyewe Bwana
Kauji kepesi hakikisha unakapata.Km huna chakuonesha tunza fito zako😅🙄
Yupo mmoja humu anautetea balaa,Bora mrekebisha tabia useme nao...eti ndio wanaume haoKwa style hii Ushoga ni ngumu sana kuisha . Watu tunapambana nayo haya makonokono yanajiibua kwa style nyingine.
Na wewe unaungana na michicha miba?nimekuvua nyotaApige picha atuwekee fito au spoku zake tuzione hapa.😄😄😄😄