Tupia picha za Aziz Ki Day hapa

Sisi wa msimbazi tunasubiria Kibu dei...
 
Inashauriwa kupika hata kauji kepesi Ili kupoza njaa inapokuwa Kali,maana level ya makasiriko inaongezeka sana... jitahidi upate kauji utaacha kujibishana hovyo humu na kila anaye comment...
Km huna chakuonesha tunza fito zakoπŸ˜…πŸ™„
 
Wote uumbaji wa Mungu na pia sio lengo la huu uzi. Acha kukashfu uumbaji bro, hujafa hujaumbika. Simu yako yaja.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
🀣🀣🀣🀣🀣 ngoja kwanza nisikilize nyimbo ya Abiud Mishol Simama Mwenyewe Bwana
🀣🀣🀣🀣🀣Ukimaliza sindikizia na Sedekia ule wa Nitaimba heluya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…