Mbona mkuu hujambatanisha cheti cha VETA, sasa hiyo ndo deal za mjini.Habarini Wakuu,
Kuna malalamiko mengi sana kuhusu kasi ndogo ya Utumishi kushughulikia mchakato wa Maombi ya kazi.
Maombi mengine yanachukua mpaka miaka mitatu bila kufanyiwa kazi na hatujui nini kinaendelea.
Tutumie nafasi hii ku-share screen shot za maombi tuliotuma na bado hayajafanyiwa kazi.
Mkuu calmdown ajira utapata tu, japo hiyo degree yako lazima uwe na connection ya nguvu sio rahisi kupata kazi kwa kupitia portal tu, hi ni Tanzania buana.Nimekutukana wewe na ukoo wako wote. Huo mzaha upeleke unakostahili
Hiyo negativity yako tafuta pa kuipeleka, hiyo connection unayoiamini, watengenezee nduguzo.Mkuu calmdown ajira utapata tu, japo hiyo degree yako lazima uwe na connection ya nguvu sio rahisi kupata kazi kwa kupitia portal tu, hi ni Tanzania buana.
Tafuta kazi bwana mdogo huna unachoweza kusaidiaHilo swali ungemuliza BiMkubwa wako lingekuwa na maana sana, pengine kuna msaada anahitaji. Kama itakuwa nje ya uwezo wako, nijuze, ntamsaidia.
Nashukuru Mkuu. Mimi ni job hunter, siyo job seeker. Kwa bahati nzuri nipo Private sector, mshahara si haba, ni vile tu kuna ndoto nashindwa kutimiza huku.Kwa kada yako jaribu kuulizia kwenye mabenki wanakuaga na uhitaji wa watu kama nyie ila kama pia una idea ya umeme na plumbing
Afya iko vizuri na mbegu ziko imara, hivyo mashine inafanya kazi, kwa hiyo hilo naweza msaidia. Kingine kama utajali, tujaribu kuonesha bank statement ya miezi sita iliyopita tuone nani anahitaji msaada kati yangu na wewe.Tafuta kazi bwana mdogo huna unachoweza kusaidia
Manaake kupata ujuzi wa umeme na plumbing ni lazima aende veta.Kwa kada yako jaribu kuulizia kwenye mabenki wanakuaga na uhitaji wa watu kama nyie ila kama pia una idea ya umeme na plumbing
We bwana mdogo mpuuzi sana Mbaga Jr naomba mtafutie kijana kazi yakufanya apate japo chochoteAfya iko vizuri na mbegu ziko imara, hivyo mashine inafanya kazi, kwa hiyo hilo naweza msaidia. Kingine kama utajali, tujaribu kuonesha bank statement ya miezi sita iliyopita tuone nani anahitaji msaada kati yangu na wewe.
Halafu ili iweje?Habarini Wakuu,
Kuna malalamiko mengi sana kuhusu kasi ndogo ya Utumishi kushughulikia mchakato wa Maombi ya kazi.
Maombi mengine yanachukua mpaka miaka mitatu bila kufanyiwa kazi na hatujui nini kinaendelea.
Tutumie nafasi hii ku-share screen shot za maombi tuliotuma na bado hayajafanyiwa kazi.