Tupia screenshots na clips za ushindi wa Lissu na Heche hapa

Tupia screenshots na clips za ushindi wa Lissu na Heche hapa

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Uzi wa kutupia clips na screeshots zinazohusu ishindi wa Lisu tarehe 22/01/2025

Kupitia hapa, pongezi hizi ni muhimu kwa kumbukumbu tutakapompongeza tena hapo Oktoba 2025
Screenshot_20250122_092732_X.jpg
 
Kinachombeba Lissu ni waingereza wanaojaribu kumuweka kama kibaraka wao.., Rais alikuwa JPM tu, wengine wote vibaraka
 
Baada ya matokeo naona Mbowe hapigi makofi tena!
 
Kinachombeba Lissu ni waingereza wanaojaribu kumuweka kama kibaraka wao.., Rais alikuwa JPM tu, wengine wote vibaraka
Hizi ndizo akili za watu waliomuamini mungu wa masikini,mungu wenu aliwaaminisha umasikini ni sifa na utafutaji ni wizi mkazishika amri zake ndio maana hadi leo mnaamini aliekufa anafanya kazi kuliko alie hai.
 
Back
Top Bottom