Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika.
Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan.
Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?