Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

Timu ngumu ndo zipi mtani?

Vipi Ile Yanga 1 - 0 USM Algers fainali Shirikisho Africa tena kwao na hawa USM Algers wamemkanda mume wa Simba , Al Ahly. Hiyo si timu ngumu? Mazembe ni underdog?

Simba ni ndondo club for now kwasababu mashabiki wake ni mbumbumbu na daima hawataki kukubali ukweli wowote! Timu ya Simba kwasasa haina fomesheni wala possession ila mbumbumbu wanavyojinasibu kama inaipita hata Madrid vile!

Hata ukiwaambia Max Nzegeli huchomekea jezi na ni mkali kuliko Iniesta wa Barca ilee watasema hapana si kweli! Ukisema Yanga timu nzima wana jukumu la kufunga hadi Diarra , Makolo watasema kwa mechi tatu sio kipimo!

Ukisema Yanga ikishakaa kileleni mwa NBC premier league huwa haitoki hadi kubeba kombe makolo watasema huwa tunawatanguliza na bajaj tu!

Hata ukisema Mungu Mkuu yupo Makolo watauliza nani amesema ikiwa ni mwananchi anasema hayo basi Makolo watasema huo ni uongo!!
Povu ruksa, ukweli ndo huo.
 
Back
Top Bottom