Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika.

Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan.

Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
 
Kwa utabir wangu
Power dynamo 2- Simba 1
El-merrickh 3-Yanga 3
Alafu tukutane marudio Azam complex
 
Yanga haijakutana na timu nzuri, beki ngumu kipimo ASA,Kmc na jkt ruvu. Kesho wakishinda angalau itakuwa sahihi kutoa kauli hio.
Timu ngumu ndo zipi mtani?

Vipi Ile Yanga 1 - 0 USM Algers fainali Shirikisho Africa tena kwao na hawa USM Algers wamemkanda mume wa Simba , Al Ahly. Hiyo si timu ngumu? Mazembe ni underdog?

Simba ni ndondo club for now kwasababu mashabiki wake ni mbumbumbu na daima hawataki kukubali ukweli wowote! Timu ya Simba kwasasa haina fomesheni wala possession ila mbumbumbu wanavyojinasibu kama inaipita hata Madrid vile!

Hata ukiwaambia Max Nzegeli huchomekea jezi na ni mkali kuliko Iniesta wa Barca ilee watasema hapana si kweli! Ukisema Yanga timu nzima wana jukumu la kufunga hadi Diarra , Makolo watasema kwa mechi tatu sio kipimo!

Ukisema Yanga ikishakaa kileleni mwa NBC premier league huwa haitoki hadi kubeba kombe makolo watasema huwa tunawatanguliza na bajaj tu!

Hata ukisema Mungu Mkuu yupo Makolo watauliza nani amesema ikiwa ni mwananchi anasema hayo basi Makolo watasema huo ni uongo!!
 
Yanga anadroo mbili mbili,Simba anashinda mbili moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…