[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cocasti
mwamba anataka kuingia kinyume nyume geto La POPOBAWA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaweza kuwa smart ila sio mrembo. Huyo yupo ila simtaji.
Anaweza kuwa mrembo ila sio smart. Pia yupo sitamtaja.
Anavyote ni mrembo na smart ila ana arrogance (kiburi) fulani hivi. Huyu nitamtaja ngoja narudi.
Looooord! Aisee haya maisha sio poa, ni vyema kuishi na watu vizuri kila wakati.NIlimuona Nifah ni mzuri sanaa Aisee
Rangi ya mtume
To yeye do you agree??Tu yeye na ms eyes sina hakika kama ni ladies but ni member smart sana kutokana na wanavyo intarakiti humu na wadau , they are charming .
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa FaizaFoxy ni demuFaiza π¦ japo ni Braza kabisa Yani.
Hakika yule ni braza walllahMe namwitaga Braza siku zote .
Jina linaanzia na F linaishia na YNdugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.
Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.
Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.
Twende kaziβ¦..
ππππππ
@financial services yuko poaNdugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.
Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.
Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.
Twende kaziβ¦..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Watu wa JF mtafika mbinguni hoi πππSuper cunt Nyani Ngabu hana mpinzani π€£π€£π€£π€£π€£