Tupige kura, timu ipi ina washabiki wengi kati ya SIMBA na YANGA!

TUPIGE KURA. NI TIMU IPI INA MATAJI MENGI YA LIGI KUU KATI YA SIMBA NA YANGA.
Kwenye michuano ya kimataifa ni timu ipi ina rekodi nzuri..! Yaani hatua iliyofikia kuliko mwenzake!

Nyundo hiyo..!
 
Wana Simba hawa vyura fc wasitushinde, just andika Simba tumalize ubishi
 
Timu ya watembeza bakuli haijawahi kuwa na washabiki mnaojinasibisha. Mara ya mwisho mmetushinda mwaka gani?
 
Tangu enzi za ukoloni washabiki wa simba hawajawahi kufikia nusu ya mashabiki wa yanga! ila mashabiki wa simba wana mdomo na ni wapiga makelele kweli kweli! @hajimanarra
Ongezea na Bi Hindu, Rage, na nani tena???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…