Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kwenye michuano ya kimataifa ni timu ipi ina rekodi nzuri..! Yaani hatua iliyofikia kuliko mwenzake!TUPIGE KURA. NI TIMU IPI INA MATAJI MENGI YA LIGI KUU KATI YA SIMBA NA YANGA.
Nyundo hiyo..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye michuano ya kimataifa ni timu ipi ina rekodi nzuri..! Yaani hatua iliyofikia kuliko mwenzake!TUPIGE KURA. NI TIMU IPI INA MATAJI MENGI YA LIGI KUU KATI YA SIMBA NA YANGA.
Timu ya watembeza bakuli haijawahi kuwa na washabiki mnaojinasibisha. Mara ya mwisho mmetushinda mwaka gani?Ni sawa na kusema tupi
Ni sawa na kusema tupige kura ni mji gani una watu wengi zaidi kati ya Dar es Salaam na Mwanza...Hapana shaka yoyote ile Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi zaidi na hii inatokana na historia...hii ni timu ya wananchi...wengi ni watu wa kawaida sana...historically Simba ilikuwa ya watu wenye pesa na hasa waarabu...na hata sasa waarabu ndio waliojaa Simba...Na ukiona Simba anaishinda Yanga uwanjani ujue tu Yanga kuna mgogoro....Pasipo mgogoro Simba kamwe hawezi kuishinda Yanga uwanjani...Ila Simba huwa anatumia udhaifu huu wa kuifunga Yanga...Wanachama na wapenzi wa Yanga ni rahisi kurubuniwa ili kuifungisha timu yao...Wako wanachama wa Yanga ambao wako tayari kuhongwa vijisenti vichache kuifungisha timu yao...Huu ndio udhaifu wa Yanga...