demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Takwimu za Bi Hindu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa takwimu za 2017 kila watu 10 watu 7 wanashabikia simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takwimu za Bi Hindu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa takwimu za 2017 kila watu 10 watu 7 wanashabikia simba
unàanza jihami mapena YANGAAAA OYEEEEyanga ni timu ya wanawake
utaona walivyowengi
Mkuu sikatai mwisho wa siku kura zitahesabiwaje ? Inabidi zoezi liwe LA uwazi unapiga kura unaona Na matokeo on the spot. Kama mleta maada ananirusu nianzieshe Uzi kama huo wenye pollCc wabobezi.
We weka tu kura yako, hata physically itaonekana tu washabiki wa timu gn wengi.
Shida sio idadi yao bali ubora wao.Suala ni kwamba wako wangapi bongo?
Ni kama kumwambia yanga ni mwananchi badala ya mahindi ya njano kutoka emerica.Hata mtoto wa darasa la pili anajua kirefu cha CCM.
Ukimdanganya kuwa Mapinduzi ninsawa na Wananchi atakucheka ...[emoji16][emoji16]
Hii nchi kila kitu ni cha kijinga.Usiifananishe yanga na vitu vya kijinga
Kabisa, waache kufananisha timu ya wananchi na hicho kijitimu kilichorithiwa kutoka kwa wakoloniunadhani inavyoitwa timu ya wananchi wana maana gani, hao simba watasubiri sana