Tupigeni story mbili tatuπŸ€—πŸ€—

Mimi mtu akisema namchukia nakua simwelewi kwasababu naweza tu nikakufungia mageti, yani just unakua out of my businesses na naweza nisishughulike na kitu chako chochote kile lakini haimaanishi kama nakuchukiaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Weka maana ya neno chuki kwanza halafu ndio tujadili hiki kifungu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…