Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakaziampaka umeamua 'kumfungia mtu mageti' maana yake unamchukia, muambie tu alipozingua
dharau unaweza muonesha yeyote, hata usiyemchukia
sema nyie wadada mnakuaga na mambo yenu yasiyoeleweka
Siku ushamba ukakutoka, utakuwa mtu wa maana.mpaka umeamua 'kumfungia mtu mageti' maana yake unamchukia, muambie tu alipozingua
dharau unaweza muonesha yeyote, hata usiyemchukia
sema nyie wadada mnakuaga na mambo yenu yasiyoeleweka
Nadhani uzi umejieleza big Daddy..Nina tabia ya kupuuza mambo, yani kuna baadhi wa watu huwa siwapi attention kabisa ila wanatafsiri hicho kitu kama chuki🤔🤔Leejay49 kuna kitu unataka kusema mwanangu. Hebu sema tu.
Hatred humuumiza abebaye. Kumchukia mtu ambaye huchangii senti kwa maisha yake ni matumizi mabaya ya chuki. Ni kuujaza moyo takataka za kipumbavu.
Anayekuchukia mpuuze. Kumchukulia serious ni kumpa credits kwa chuki alizonazo juu yako.
Congrats 👊👊No place for hate.
Sijui nimeumbwaje ila namshukuru Mungu sina chuki na yeyote kwa lolote lile, hata nikigundua wanaonifanyia mabaya huwa naongeza umakini na kuna vitu napunguza kwa kulinda usalama wangu.
Dharau nazo sipendi nimekuwa kwenye malezi ya kuwaheshimu watu wote bila kujali tunafahamiana au atufahamiani.
Achana nao. Wasikubabaishe.Nadhani uzi umejieleza big Daddy..Nina tabia ya kupuuza mambo, yani kuna baadhi wa watu huwa siwapi attention kabisa ila wanatafsiri hicho kitu kama chuki🤔🤔
duhAcha upumbavu hivi unafikiri wote ni wajinga kama wewe?
Hizo maswali zenu za utoto kawaulize watoto wako huko sober