Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

No place for hate.
Sijui nimeumbwaje ila namshukuru Mungu sina chuki na yeyote kwa lolote lile, hata nikigundua wanaonifanyia mabaya huwa naongeza umakini na kuna vitu napunguza kwa kulinda usalama wangu.
Dharau nazo sipendi nimekuwa kwenye malezi ya kuwaheshimu watu wote bila kujali tunafahamiana au atufahamiani.
 
Leejay49 kuna kitu unataka kusema mwanangu. Hebu sema tu.

Hatred humuumiza abebaye. Kumchukia mtu ambaye huchangii senti kwa maisha yake ni matumizi mabaya ya chuki. Ni kuujaza moyo takataka za kipumbavu.

Anayekuchukia mpuuze. Kumchukulia serious ni kumpa credits kwa chuki alizonazo juu yako.
 
Nadhani uzi umejieleza big Daddy..Nina tabia ya kupuuza mambo, yani kuna baadhi wa watu huwa siwapi attention kabisa ila wanatafsiri hicho kitu kama chuki🤔🤔
 
No place for hate.
Sijui nimeumbwaje ila namshukuru Mungu sina chuki na yeyote kwa lolote lile, hata nikigundua wanaonifanyia mabaya huwa naongeza umakini na kuna vitu napunguza kwa kulinda usalama wangu.
Dharau nazo sipendi nimekuwa kwenye malezi ya kuwaheshimu watu wote bila kujali tunafahamiana au atufahamiani.
Congrats 👊👊
 
Back
Top Bottom