Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

Mimi mtu akisema namchukia nakua simwelewi kwasababu naweza tu nikakufungia mageti, yani just unakua out of my businesses na naweza nisishughulike na kitu chako chochote kile lakini haimaanishi kama nakuchukia😃😃

Weka maana ya neno chuki kwanza halafu ndio tujadili hiki kifungu...
 
Back
Top Bottom