Tupigeni story yoyote

Tupigeni story yoyote

tya02

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
850
Reaction score
1,061
Yaan naona niko bored,njoeni basi online tupige story yoyote ile!
Karibuni
 
Hahaha hapo ndio penyewe shostito watu wanasemaga wakikutana na ma ex wao wanaweza kumbushia ila mm my first boyfriend mmmhh no no no sitaman hata kukutana naye hhaha
hata mimi huwa nasikia hivo mimi namchukia yaani nikikutra simba anamla nampa na kachumbari na pepsi ya kushushia! alikufanyia nini shosti?
 
hata mimi huwa nasikia hivo mimi namchukia yaani nikikutra simba anamla nampa na kachumbari na pepsi ya kushushia! alikufanyia nini shosti?
Haahaa nilikutana naye somewhere katikat y mji amenenepeana kama tembo kitambi kama ana mimba ya kujifungua honest nilijiuliza ilikuaje nikawa na kituko kama kile those days aaarrghhhhhh tho alikua hajaumuka hvyo
Hakuamini nilivyokimbilia daladala
 
Back
Top Bottom